Leoleoplus,com

SAA HII UNAWAZA NINI?

*Kile unacho kiwaza saa hii,nimuhimu sana kwa shetani nakwa Mungu pia nakwako.
Ukisoma katika 2kor 10;3-5-una ona vitu 3
              
             1.kuangusha mawazo
               -maana yake,si kila wazo linapaswa kusimama kwenyemaisha yako

             2.kuteka nyara kila fikra ipate kumtii Kristo
              -maanayake,nikujua kuziongoza fikra zako

             3.kile kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu
              -Nilile wazo linalo inuka kinyume na elimu ya ufahamu wa kiMungu ulio nao katika wokovu-MFANO
-Wazo lina inuka nakukwambia-Yesu Kristo ingawa alikuwa tajiri,alifanyika masikini ili wewe uwe tajiri-mbona masikini? je,utakuwa uko sawa na Mungu?
-Yesu Kristo alipigwa ili uwe mzima-mbona mgonjwa?
-Hii ni nguvu inayo jiinua kwenye akili yako ili kushambulia elimu ya Mungu ndani yako

MAMBO 8 YAKUSAIDIE KUPATA MWANGA ZAIDI JUU YAKILE UNACHO KIWAZA SAAHII;

1.Je, unalo liwaza muda huu,halikuletei hofu?

2.Unalo liwaza saa hii,siyo shambulizi la furaha yako?-maana yake,halihusiki kushambulia furaha yako?

3.Je,unalo lifikiri muda huu,hali kuletei hali ya kucha nga nyikiwa?

4.Je,unalo liwaza saahii,siyo shambulizi kwa mwenzako?

5.Unalo liwaza muda huu,hali kuongezei uchungu?

6.Je,unalo lifikiri muda huu,lina kibali kwa Mungu?

7.Unalo liwaza saahii,halichochei chuki yoyote kwa mtu yeyote?

8.Je,unalo liwaza,halikuletei umasikini?

                

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

KUJUA KUTEMBEA NA MUNGU NIPAMOJA NAKUJUA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI KATIKA ROHO