Leoleoplus,com

NENO LAUFUNUO LAWIKI HII KWA KANISA ULIMWENGUNI

KUSIMAMA NA MUNGU

1.Kusimama na Mungu maanayake nikuwa na msimamo rohoni mwako katika Neno la Mungu

2.Bakia kwenye msimamo-ninapo sema ubakie kwenye msimamo nina maanisha nini?
-nina maanisha kwamba,-

MFANO
1Samweli 1;1-19-Hana.alikuwa namsimamo wa kutokufikilia njia mbadara zisizo faa zakujipatia mtoto-mstali wa 20-hatimae alichukua mimba.Haya nimatokeo yamsimamo.Hatimaye unachukua mimba.
Mimba iki wakilisha,Nguvu ya Mungu inayo kuja juu yako ili kusababisha kitu furani kutokea kwenye maisha yako.

Katika kitabu cha mwanzo 17;15-19-inaonyesha wazi kwamba,kihalisi,Iblahimu alikuwa amesha poteza imani akilini mwake,alibaki namsimamo tu, rohoni mwake,kwamba,Mungu anaweza kufanya alicho sema-Rumi 4;20-21.
Tazama pia mwanzo 21;1-7-hatimae Iblahimu alipata mtoto.Mstali wa 6-7-inaonyesha kwamba,ukiwa na msimamo rohoni mwako,hatimae una fanyiwa kicheko.Yaani Mungu ana kjibu.

3.NIWAPI WEWE UNAHITAJI MSIMAMO?

1.Unapo kuwa mgonjwa.
-mathayo 8;17,Isaya 53;4-5.Mambo mawili uya angalie kwenye mistali hiyo miwili;
                           1.Mwenyewe aliuchukua udhaifu wetu akaya chukua na magonjwa yetu
                           2.Kwakupigwa kwake sisi tumepona.
                           -Huo ndio unakuwa msimamo wako rohoni mwako,siyo kwenye akili yako.

2.Wakati unapo pitishwa kwenye maneno mabaya ya kunenewa kwa uongo hasa yale yanayo umiza fira zako-wakati huo unatakiwa uwe na msimamo katika Neno la Mungu.

3.Wakati unapo kuwa kwenye kipindi kigumu cha maisha kiasi kwamba unakuwa umesha poteza imani kwernye akili yako,hapo unatakiwa ubakie kwenye msimamo wak rohoni mwako katika Neno,huku ukijua kwamba,kila jambo linawakatiwake,halafu unajisemea mwenyewe kwenye roho yako kwamba-NITA INGOJA KESHO YANGU-Yoshua 3;5

NDUGU MSOMAJI-kama uta kuwa na kiu yakujifunza mengi zaidi,wasiriana ma Apostle Alam J.Kayengela kwa no.0763 359745 na 0712 583194
UBARIKIWE

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

KUJUA KUTEMBEA NA MUNGU NIPAMOJA NAKUJUA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI KATIKA ROHO